TAMWA YAPONGEZA UONGOZI WA AWAMU YA TANO
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kinapongeza uongozi mpya ulioapishwa Novemba 5, 2015 chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kuongoza Jamhuri ya...
View ArticleTAMWA KUKUTANA NA WADAU KUJADILI MAPENDEKEZO BAADA YA KONGAMANO LA NCHI ZA...
Chama cha Wanahabari Wanawake – TAMWA kwa kushirikiana na Ubalozi wa Canada hapa nchini, leo Ijumaa tarehe 29 Januari, 2016 saa 08:00 asubuhi kitafanya mkutano wa siku moja kujadili yaliyojiri...
View ArticleVYOMBO VYA HABARI VILIVYOMINYA SAUTI ZA WANAWAKE WAKATI WA UCHAGUZI MKUU
Uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Mwaka 2015 ulionyesha kuwa wanawake walikosa nafasi kwenye vyombo vya habari. Kutokana na ufuatiliaji wa habari za magazeti sita uliofanywa katikati ya Septemba na...
View ArticleGENDER GAP IN MEDIA ELECTION COVERAGE
In 2015 Tanzania election, women were under-represented in media. In analysis of one month of all stories from six newspapers monitored between mid-September and late October last year TAMWA found...
View ArticleTAMWA YASIKITISHWA KESI ZA UBAKAJI /ULAWITI KWA WATOTO KUTO HUKUMIWA
Chama cha Wanahabari Wanawake nchini- TAMWA kinalaani vikali ucheleweshwaji na upotoshwaji ushahidi wa kesi za vitendo vya ukatili wa kijinsia hasa za ubakaji na ulawiti katika ngazi ya mahakama,...
View ArticleFGM AND CHILD MARRIAGE STILL A PROBLEM IN TANZANIA
Journalistic survey conducted recently revealed that that FGM and Child marriage are still practiced in many parts of Tanzania despite efforts made by the government and NGO’s alley situation. In...
View ArticleUKEKETAJI NA NDOA ZA UTOTONI BADO NI TATIZO NCHINI
Utafiti umebaini kuwa ukeketaji na ndoa za utotoni bado unaendelea nchini licha ya juhudi zinazofanywa na taasisi mbalimbali za haki za binadamu zikishirikiana na kiserikali . Novemba mwaka 2015,...
View ArticleTAMWA YAMLILIA MWANACHAMA WAKE, SARAH DUMBA
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania –TAMWA kimepokea kwa masikitiko msiba wa mwanachama wake na mwanahabari mahiri, mkongwe Sarah Dumba ambaye amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa...
View ArticleTAMWA KUFANYA MAFUNZO YA KAMATI ZA UKATILI WA KIJINSIA NA WAANDISHI WA HABARI
Chama cha Wanahabari Wanawake TAMWA, kimeandaa mafunzo ya siku mbili yatakayofanyika kuanzia leo tarehe 13 na 14 Aprili, 2016 yenye lengo la kuwajengea uwezo waandishi wa habari na kamati...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KULAANI UKATILI DHIDI YA WANAWAKE UNAOKITHIRI...
Ndugu Wanahabari, Taasisi zinazotetea haki za Wanawake na watoto nchini, tunalaani vikali ukatilii dhidi ya wanawake unaondelea kukithiri nchini. Tukio la udhalilishaji wa Kijinsia kwa mwanamke mmoja...
View ArticleTAMWA: SHERIA NA KANUNI ZA USALAMA BARARANI ZIREKEBISHWE ILI ZIWALINDA...
Chama cha Wanahabari wanawake Tanzania -TAMWA kinaungana na Watanzania katika maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani ambayo yataanza tarehe 26/09 na kufikia kilele tarehe 01/10. TAMWA inawaasa wadau...
View ArticleTAMWA CALLS FOR AMENDMENT OF TRAFFIC LAWS AND REGULATIONS TO SAVE WOMEN AND...
On the occasion of Road Safety Week (26/09 – 01/10/2016) TAMWA joins with all Tanzanians and road safety stake holders to call for government reforms of the road safety legal and policy environment in...
View ArticleSIKU YA KIMATAIFA KUWAKUMBUKA WAHANGA WA AJALI ZA BARABARANI 20 NOVEMBA, 2016.
Matukio ya ajali za barabarani yamekuwa na athari nyingi hapa nchini kiuchumi na kijamii. Vilevile matukio haya ya ajali za barabarani yamekuwa yakiwasababishia wananchi madhara makubwa yakiwemo...
View ArticleTAMWA YAZINDUA MATOKEO YA TATHMINI YA MWISHO KWA MRADI ULIOTEKELEZWA...
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania – TAMWA kimefanya tathmini kuchunguza matumizi ya pombe, madhara, upatikanaji wake pamoja na uelewa wa jamii za kata za Makumbusho, Saranga na Wazo Hill wilayani...
View ArticleTAMWA YAUNGANA NA WADAU KUADHIMISHA SIKU YA UKEKETAJI DUNIANI
Chama cha Wanahabari Wanawake nchini – TAMWA kinaungana na mashirika mengine yanayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia na kutetea haki za binadamu leo tarehe 6 Februari, 2017, kuadhimisha siku ya...
View ArticleWadau wa Uchaguzi Mkuu 2015 Mkoani Arusha Wataka Vyombo vya Habari Kuripoti...
Wadau wa Uchaguzi Mkuu 2015 mkoani Arusha wamevitaka vyombo vya habari kuripoti zaidi masuala ya watangaza nia au wagombea wanawake katika chaguzi zijazo nchini. Wadau waliohudhuria warsha ya kujadili...
View ArticleArusha Stakeholders for 2015 General Elections Urge Media to Cover More Women...
Arusha Stakeholders of 2015 General Elections have urged media to increase their reporting of women aspirants/candidates in the future elections. The stakeholders attending workshop to disseminate...
View ArticleWadau wa Uchaguzi 2015 Mkoani Iringa Wasema Makundi Maalum Hayakuwa...
Wadau wa Uchaguzi Mkuu wa 2015 mkoani Iringa wamesema kuwa vyombo vya habari vilishindwa kuripoti habari za kutosha kutoka makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wakati wa uchaguzi...
View ArticleIringa Stakeholders for 2015 General Elections Say Marginalized Groups were...
Iringa Stakeholders of 2015 General Elections have said that media failed to report enough stories from women, youths and people living with disabilities during the 2015 general elections. They...
View ArticleTAMWA YAAZIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Chama cha Wanahabari Wanawake nchini – TAMWA kinaungana na mashirika yanayotetea haki za binadamu hasa wanawake na watoto ulimwenguni kusherekea siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa tarehe 8...
View Article